⛪ Imejengwa Tanzania · Kwa makanisa ya Tanzania

Simamia kanisa lako
kwa mfumo mmoja.

Washirika, mahudhurio, sadaka, matumizi, idara, na ripoti — vyote sehemu moja. Kanisa MS umejengwa na watu wanaojua kazi ya kanisa, kwa lugha ya Kiswahili, kwa bei ya hapa nchini.

Jaribu kwa siku 30 bure · Kuanzia TZS 10,000/mwezi · Tayari kutumia ndani ya dakika 5
10+
Moduli zilizoshikamana
13
Aina za majukumu (roles)
100%
Kiswahili UI
Idadi ya washirika
Moduli

Kila kitu kanisa linalohitaji.

Moduli zinaungana — taarifa ya mtu mmoja zinaonekana mahali ipasavyo, hakuna kuandika mara mbili. Idara, zoni, na shemasi wana access yao tu — kila mtu anaona alichohitaji.

👥 Module 1

Washirika

Sajili, hifadhi na simamia taarifa za washirika — kuanzia jina, simu, anuani, idara, mpaka tarehe ya ubatizo na ndoa.

  • Profile kamili kwa kila mshirika
  • Tafuta kwa jina, simu, idara, zoni
  • Watoto na familia zinaungana
  • Hifadhi picha ya passport
📅 Module 2

Mahudhurio

Check-in wa ibada kwa simu au QR code. Pata ripoti ya kila wiki, mwezi, na mwaka — ona washirika wanaohudhuria zaidi na wasiokuja.

  • QR scan kwa kuingia haraka
  • Manual check-in kwa zaidi ya 100 washirika
  • Ripoti ya wastani wa mahudhurio
  • Tahadhari kwa washirika waliopotea
💰 Module 3

Sadaka & Michango

Rekodi sadaka, zaka, na michango maalum kwa kila mshirika. Toa risiti otomatiki na pata jumla ya mwaka kwa upatanisho na TRA.

  • Sadaka ya ibada · Zaka · Michango maalum
  • Risiti za PDF zinatumwa kwa email
  • Ripoti za mwezi/mwaka kwa upatanisho
  • Verification ya treasurer
💸 Module 4

Matumizi

Approval workflow ya matumizi ya kanisa. Dept_leader anaomba, treasurer anaidhinisha, pastor anakubali — kila kitu kina audit trail.

  • Ombi → idhinisho → malipo flow
  • Receipts zinapakiwa
  • Categories zinasimamiwa kwa pastor
  • Ripoti za matumizi kwa mwezi
🏛️ Module 5

Idara

Vijana, Wanawake, Choir, Wanaume, Watoto — kila idara ina kiongozi (chairperson) na katibu (secretary) ambao wanasimamia washirika wao.

  • Idara zinajitegemea (separate access)
  • Kila idara ina washirika, mahudhurio, bajeti
  • Ripoti za idara kwa pastor
  • Hesabu za bajeti ya idara
📍 Module 6

Zoni & Shemasi

Gawanya washirika kwa zoni za kijiografia. Kila zoni ina kiongozi na katibu — wanafanya pastoral care kwa washirika wa karibu yao.

  • Zoni nyingi kwa eneo la kanisa
  • Shemasi (deacons) na portfolios zao
  • Pastoral visits zinahesabiwa
  • Communication ya kiongozi wa zoni
👤 Module 7

Portal ya Washirika

Kila mshirika ana login yake. Wanaona historia ya michango yao, mahudhurio, na wanasasisha taarifa zao bila kuomba katibu wa kanisa.

  • Login kwa simu/email/password
  • Ona michango yako (historia)
  • Sasisha simu na anuani
  • Pakua risiti za PDF
📊 Module 8

Ripoti

Financial, attendance, na growth reports — zote zinapatikana mara moja. Toa PDF kwa kikao cha leadership au upakue Excel kwa accountant.

  • Financial: sadaka vs matumizi
  • Mahudhurio: trends kwa mwezi
  • Growth: washirika wapya
  • PDF + Excel exports
📣 Module 9

SMS kwa Washirika

Tuma SMS kwa washirika wote, idara moja, au zoni moja. Tahadhari za ibada, salaam za siku ya kuzaliwa, na ujumbe wa kifo.

  • SMS kwa kanisa lote (one-tap)
  • SMS kwa idara au zoni
  • Templates za kuokoa muda
  • Powered na SanyaSMS
🎯 Module 10

Campaigns

Kampeni maalum za kujenga kanisa, kwaya, au safari ya outreach. Onyesha lengo, weka mchango wa kila siku, ona maendeleo live.

  • Set goal (TZS) na deadline
  • Live progress bar
  • Michango ya kila mshirika inaonekana
  • Mwisho — final report PDF
🪪 Module 11

Leadership

Track wachungaji, mashemasi, viongozi wa idara, na zoni. Wajibu wa kila mmoja, mawasiliano, na muda wa kuanza kuhudumu.

  • Profile za viongozi
  • Wajibu na portfolio
  • Calendar ya huduma
  • Pastoral visits log
🔐 Module 12

Roles & Permissions

13 aina za majukumu zilizojengwa. Pastor anaona kila kitu, treasurer anasimamia hesabu tu, dept_leader anaona idara yake tu.

  • Admin · Pastor · Secretary
  • Finance · Treasurer · Member
  • Dept leader/chair/sec
  • Zone leader/sec · Shemasi
Jinsi inavyofanya

Anza ndani ya dakika 5.

Kanisa lako linapata workspace yake binafsi (mfano: elcb.kanisa.or.tz). Hakuna kanisa lingine linaona data yako.

  1. Sajili kanisa lako Weka jina la kanisa, denomination, na admin wa kwanza. Tunatengeneza workspace binafsi mara moja.
  2. Sajili washirika Pakia Excel ya washirika wako au sajili mmoja mmoja. Watapata SMS kuwajulisha link ya portal yao.
  3. Anzisha moduli Washa moduli unazohitaji: mahudhurio, sadaka, idara. Funga ambazo kwa sasa hazikuhusu — utazirudisha baadaye.
  4. Tumia kwenye ibada Jumapili ya kwanza — chukua simu, scan QR au check-in manually. Hesabu ya washirika na sadaka iko tayari ndani ya saa moja.
Anza sasa →
yourchurch.kanisa.or.tz Subdomain yako binafsi. Logo yako. Data yako. Wakatazama wengine hawawezi.

Watu wanaoweza kuingia

👨‍💼 Admin ⛪ Pastor 📝 Secretary 💰 Treasurer 📊 Finance 👔 Dept Leader 📋 Dept Secretary 📍 Zone Leader ✍️ Zone Secretary 🪶 Shemasi 👤 Member
Bei

Mpango rahisi, bei ya hapa Tanzania.

Chagua mpango unaofaa kanisa lako. Jaribu kwa siku 30 bure, utaanza kulipia baada ya siku 30. Bei zote ni TZS, bila kuficha gharama.

⛪ Basic

TZS 10,000/mwezi

Mpango wa msingi — kwa makanisa mengi.
Moduli zote za msingi
Subdomain binafsi
Portal ya washirika
Roles & permissions
Backup ya kila wiki
Support kwa email
Updates bure milele
Washirika bila kikomo
Chagua Basic →
⏳ Jaribu kwa siku 30 bure

Utaanza kulipia baada ya siku 30. Workspace yako inakuwa hai sasa hivi.

Una swali? Tuma email — tunajibu ndani ya saa 24.

Maswali

Maswali yanayoulizwa mara nyingi.

Je, data ya kanisa langu iko salama? Wengine wataiona?
La. Kila kanisa lina database yake binafsi (multi-tenant architecture). Hakuna kanisa lingine linaweza kuona washirika wako, sadaka, au matumizi. Hata sisi (Sanya) hatuangalii data ya kanisa lako bila ruhusa yako kwa maandishi (kwa mfano, kwa migration au support ticket).
Mfumo upo katika lugha gani?
Kiswahili 100%. UI nzima — sentensi zote, button labels, error messages, na taarifa za email — ziko kwa Kiswahili. Watumiaji wasiotumia Kiswahili wanaweza kubadili kwa Kiingereza kwenye settings, lakini default ni Kiswahili kwa sababu makanisa mengi ya TZ yanafanya kazi kwa Kiswahili.
Tukianza, je tunaweza kuagiza washirika kutoka Excel?
Ndio. Pakia file ya Excel (CSV) yenye majina, simu, anuani, na idara. Mfumo unaingiza wote mara moja. Kama una orodha ya mzee ya washirika kwenye karatasi, tunaweza kukusaidia kuagiza data ya awali — tuma email kwa hi@kanisa.or.tz.
Je, washirika wanahitaji smartphone?
Hapana — washirika hawahitaji kuwa na akaunti. Pastor / katibu / dept leader pekee ndiyo wanaohitaji simu au laptop. Washirika wanahudumiwa na akaunti za viongozi. Walakini, kama mshirika anataka kuona michango yake mwenyewe, anaweza kupata login yake kwa portal — hii ni feature ya hiari.
Tutaweza kupakua data zetu tukiamua kuondoka?
Ndio, wakati wowote. Pata exports za Excel/CSV za washirika, mahudhurio, sadaka, na matumizi yote ya kanisa. Hii ni haki yako — data ni mali yako, sio yetu.
Mfumo unafanya kazi na denominations zote?
Ndio. Tumetengeneza mfumo bila kukabilia denomination yoyote (Pentecostal, Catholic, Anglican, SDA, Lutheran, Baptist, n.k.). Settings zinakuruhusu kubadilisha terminology: "sadaka" vs "kalala", "shemasi" vs "deacon", n.k.
Kanisa langu lina makanisa kadhaa (multi-branch). Mfumo unafanya hii?
Ndio, kwa mpango wa Standard. Kila tawi linakuwa workspace yake yenye independent data, lakini pastor mkuu anaweza kuona ripoti zilizojumuishwa. Tuma email tukuelezee jinsi ya kuanza.
Ni kampuni gani inamiliki Kanisa MS?
Kanisa MS ni mojawapo ya bidhaa za Netpoa Limited — kampuni ya teknolojia ya Tanzania inayofanya biashara kwa jina la Sanya, ambayo pia inamiliki Sanya Business (mfumo wa biashara), Sanya Host (hosting), Sanya Cloud (VPS), na SanyaSMS (bulk SMS gateway). Kanisa MS imejengwa kwa mahitaji maalum ya makanisa ya Tanzania, na ina infrastructure ya familia hiyohiyo — backup, security, na uptime.

Tayari kuanza?

Sajili kanisa lako sasa — jaribu kwa siku 30 bure, utaanza kulipia baadaye. Tutakusaidia kuagiza data za awali bila gharama.